VIDEO MPYA YA MSANII MAREHEMU BENSO ALIYOKUWA AWACHIE..... ICHEKI HAPA


Msanii Benso almaarufu Benson Katani japo hayupo nasi kwa sasa amewaachia wapenzi wa muziki wake video mpya kabisa. 

Video hiyo kwa jina GOD'S PERFECT(akimshirikisha produza Petrooz) ilikua moja ya baadhi ya kazi zake alizokuwa na mikakati ya kuwachia mwaka huu kabla ya kukumbana na kifo chake. 

Huku mashabiki na washika dau mbali mbali wakiwa katika hali ya majonzi na kuomboleza, video hiyo imeachiwa rasmi na mwandalizi Ricky Bekko wa Big Dreams.

Rest in Peace Benso na hii hapa video yenyewe -
https://youtu.be/eI16asEBrCE

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!