NYOTA NDOGO ARUDI KWA KISHINDO NA KIBAO HIKI...

Baada ya kimya kingi, mkali wa mziki na mlezi wa wengi kwenye sanaa, Nyota Ndogo yupo tayari kuangusha kibao kipya, Subira Yangu. 

Kibao hiki kimepikiwa Tempoz Records chini ya Producer Amz na kitaachiliwa rasmi tarehe 8 July. Kaa mkao wakula!

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.