WANAHIPHOP WA KENYA HUSTLA-J AKIWA MMOJA WAO WATOKEA KWA DOCUMENTARY YA KIMATAIFA.

Ukidhani ni mchezo basi wenzako wazidi kupiga hatua.Hivyo basis wasanii kadhaa wa hiphop wametokea au kuchangia kwa bonge moja la documentary iitwayo THE LOOP.Documentary hiyo iliyoandaliwa na mtayarishaji wa filamu mashuhuri kutoka Sweden Roger Nilson na wa hapa pwani Nicko Homesound imejumuisha wasanii kama Hustla Jay,K-Shaka,Chizen brain, Kimya,Guru gang na wengineo.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.