Posts

Showing posts from March, 2015

P-DAY MSANII WA AHADI.......

Image
Mwaka uliopita msanii P-Day na Alkenia Luv waliwaahidi dancers wote wa Mtwapa Talent search season one kwamba watapewa nafasi Kuwa kwenye video ya NIRINGE NAYE.Video ilipotoka,kweli P-day aliitimiza ahadi yake.Video ya NIRINGE NAYE iliyoandaliwa na Jeff Santana ilikuwa na dancers wote aliowaahidi.Leo msanii P-Day ameamua kulipia fee mwanafunzi wa Mwatate mix secondary.Kisa na maana kajiita jina lake P-Day. "...HAHAHA NIMEPATA HABARI KUA KUNA DOG O FLANI MWATATE MIX SECONDARY ANAJIITA ( PDAY ) NIMESKIA POA SANA COZ AV ONLY SEEN SOME FEW KENYANS CALLING THEMSELVS 2PAC ATHERS BEYONCE,LYL WIZ BT Alocal artist like me aving afan like him!!!, growin wid my name?irealy appreciate....napanga nifike apo nikuone na ikiwezekana nlipe fee mwaka mzima." Msanii ni kioo cha jamii.

NYOTA NDOGO KUFUNGUA REDIO STESHENI YAKE BINAFSI .

Image
Mama mlezi wa sanaa ya pwani aka Nyota Ndogo yaonekana kila uchao ana mapya mazuri. Msanii huyu ambaye ameingia tu majuzi kutoka ng'ambo amewasili na habari njema ambazo wasanii wa pwani watakua na raha kabambe wakizipata.Nyota yupo katika harakati za kufungua redio stesheni yake. Nyota alikuwa na haya ya kutujuza......... "Moja kati ya mipango yangu ni.niko katika hatakati za kufungua radio yangu.itakayo itwa MAMA NYOTA FM.msicheke maana ni moja ya ndoto ya mda mrefu.cooming soon." Habari ndivyo hii na twamtakia kila la kheri na bila shaka akifanikiwa Pwani usanii,backstreet entertainment, the greatmulley,Solo King,Ommy Dallah na bloggers wote hatutakosa kipindi chetu cha udaku.

MSANII YAGAYAGA ANAYEISHI BAHARINI MAMANGINA.

Image
Msanii huyu kutoka hapa mkoani pwani kwa majina Yaga Yaga ni jamaa ambaye anaishi maisha ya kubahatisha ila yee hushukuru mwenyezi Mungu kila kuchao kwa kumpa uhai. Yaga Yaga hana makao maalumu na yeye hulala kando ya baharini kule mama Ngina manake huko ndio nyumbani aanakojua. Kando na hayo yote msanii huyu hujibidiisha kwa kufanya vibarua vidogo vidogo hapa mjini na kuchanga hela za kurekodi studio. Ameweza kwa sasa kurekodi nyimbo mbili Kule SQ Records na akafanya video moja. Yeye husema hawezi kufa moyo kwasababu ya maisha yake ya upweke manake anaamini ipo siku atakuja faulu kupitia kwa kipaji chake cha usanii... $hukrani kwa ‪#‎ backstreet‬ entertainment.Yagayaga twakutakia kila la kheri.

KIGOTO MMBONDE-NAPENDA VIZURI.JE USHAISIKIZA?KIGOTO ALILENGA KINA NANI?

Image
Chini ya produza Tkmbili,Kigoto Mmbonde amejaribu kuuteka mtindo mpya unaovuma kwa saa hapa Pwani na bongo. Tukianzia kwa kuuchanganua mdundo wenyewe, producer Tk2 amepanga vyombo vya muziki akifuatilia mtindo unaosambaa kwa sasa. Mdundo wenyewe unafuatana au lingana na ule wa YA MOTO band ila Tk2 ameambatanisha vyema vyombo vya muziki na kuupata kama ulivyo. Tukiskiza wimbo wenyewe sasa, Kigoto ameamua kuwaeleza watu fulani kwamba yupo imara na anatosheka kwa kile apatacho. Kama kawaida tunavyofahamu msanii huyu si mchache wa mane no na vijembe, amewapaka jamaa Fulani kwa vidaka vya maneno na tayari tushafahamu ni kina nani. Ukitaka kufahamu zaidi bila shaka wimbo upo mitandaoni na redioni.Napenda vizuri.

HAPPY BIRTHDAY TO HAMISI YUSUF WHO TURNS 2 YEARS

Image
Anapenda mziki kama babake Susumila na leo PWANI USANII family wishes the young lad HAPPY BELATED BIRTHDAY as he turns 2 years

BENSO-"IMEREMENDE" MWAKA HUU NDIO MOTO ZAIDI!!!!!

Image
Huku kila uchao mashindano ya muziki yakizidi kupamba moto kwenye tasnia ya Sanaa ya Pwani na Afrika mashariki kwa jumla.Ambapo baadhi ya washika dau wa sekta ya muziki kudai Kuwa muziki wa Kenya umekufa,msanii Benso ameamua kuweka bidii zaidi ili kuregesha sifa ya muziki wa Kenya.Mwanamuziki huyu aliyetuzwa kama mwanamuZiki bora wa kiume kwenye Coast music awards mwaka Jana chini ya BRAIN CHILD MUSIC GROUP ameandaa video ya kimataifa itakayowazuzua Wengi. Benso ambaye hupenda kugaramikia video sake,raundi hii amedhihirisha wazi kuwa yeye ndiye bingwa wa muziki na video safi Pwani kwa Afrikaa mashariki.PATA KUITAZAMA VIDEO YENYEWE HAPA-- . https://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=yE9EfR8BepU

MSANII PAPAH AGADHABISHWA NA KITENDO CHA SHETTAH KUONGELEA VIBAYA WIMBO "DATA"

Image
Papah au ukipenda Agiza Nitakuja lipa msanii imara wa Hornet records amegadhabishwa sana na msanii Shettah wa bongo aliyekuja Mombasa na kufanya collabo na Msanii Kigoto.cGwiji huyu amekashifu vikali maneno ya Shettah na hivi ndivyo alivyonakili....... " Shetta from TZ, he is very stupid and primitive. alipokuja Hornet Records Mtwapa kufanya track na Kigoto, I wanted him to pay but Welo Kagomaz and Shetta himself, w akadai niwaruhusu wafanye kazi na Kigoto ili waka market studio TZ. Saa hii adai ilikuwa ZOEZI akaenda fanya tena na DIAMOND. Alafu ana kashifu kazi zetu?! Sina number zake bt mkimuona mwambie ameambiwa awache UPUMBAVU hakuna studio ya zoezi MOMBASA. Sasa basi Blog n radio station za Coast twawaomba muache kuwapa shavu sana hawa makafiri wa Tz because wanamaudhio sana alafu uko kwao sisi atupewi shavu."

KUMBE HUYU NDIYE KIPUSA WA PRESENTER MAARUFU WA PWANI FM GATES MGENGE!!!!!!!TAZAMA PICHA HAPA!!!!

Image
Gates Mgenge mtangazaji maarufu sana na anayebobea kwa kazi yake ameamua kuweka maisha yake ya mapenzi hadharani.Japokuwa gwiji huyu wa kuenua vipaji amekuwa msiri sana kwa maisha yake binafsi, yaonekana màpenzi yamezidi utam hadi akaamua kuweka mambo wazi.Tazama picha zenyewe-------

NYOTA NDOGO AWEKA PICHA YAKE NA MPENZIWE WA KIZUNGU:SALAMU NI KWAMBA WAPO KENYA WOTE!!!!

Image
Picha ya msanii Nyota Ndogo akiwa na mpenzi wake wa kizungu hapa Kenya.Wameshawasili!!!!!

MWANAMITINDO KLYN BALLERINAH APIGA PICHA AKIWA NA BIKINI (NUSU UCHI!!!!!!) TAZAMA PICHA YENYEWE HAPA NA ZINGINEZO PIA!!!™

Image

FISHERMAN 'NDOTO' YA GRANDPA KUDIDIMIA.

Image
Miaka miwili iliyopita msanii Fisherman anayetokea Mtongwe na mzaliwa wa papa hapa Pwani alisajiliwa na studio kubwa Nairobi kwa jina Grandpa.Kilichofuata kwa star huyu wa Dancehall ni kufanyishwa collabo mbili ambazo alifanywa kushirikishwa.Fisherman ambaye ndugu yake ni Noir Mwamba anayemiliki studio ya Mwamba records aliacha kurekodi muziki kwa muda huku mashabiki wakisubiria kazi sake kutoka Grandpa records. Cha kushangaza ni kuwa msanii wetu wa hapa Pwani Fisherman hajarekodi wimbo wowote hadi sasa. Kuongezea msumari moto kwenye kidonda Fisherman ametemwa kwenye wimbo wa Grandpa FIMBO YA TATU 'DAWA YA MOTO'.Swali ni je Fisherman alitemwa au Grandpa wamemchoka??? La mwisho kabisa,mashabiki wana hamu ya kumsikia Fisherman tena.Je atawachilia lini kazi mpya????

MTWAPA NA DIANI ZAONGOZA KWA BIASHARA YA USHOGA (PICHA ZIPI HAPA)

Image
Mambo yanayofanyika Mtwapa yashangaza. Je mambo kama haya yanakubalika kwa jamii yetu? Yasemekana Kuwa Pwani yaongoza kwa mambo haya hasa Mtwapa na Diani. Tazama picha hapa chini tulizopata

WACHENI NGONO ZA MAPEMA AU MTAPATWA NA MAGONJWA YA ZINAA-NYOTA NDOGO AWASHAURI VIJANA.

Image
Nyota Ndogo msanii ambaye Wengi humuita mama mlezi wa Sanaa ya Pwani ameamua kujitwika jukumu la kuwafunza vijana hasa wanawake.Nyota yaonekana amechoshwa kuona mambo yanavyoenda kombo na kabla vijana kuangamia ameamua kuwapa wasia na ushauri mzuri.Nyota alisema hivi........ "Ujumbe wangu kwa waschana.muache kufanya mapenzi mapema yani umri mdogo. Enyewe ni ngumu kuwakanya ila kama lazima ufanye mapenzi tumia condom kujiuepusha na ukimwi na mimba. Na kama utapata mimba basi usiitoe maana wengine MUNGU umewapa yaimoja tu. Unaweza toa na ndio iwe basi kwako.  Boyfriend yako akikwambia uitoe basi juahajakuesabu kwa maisha yake kwa mda mrefu. jitoe. unaswali?.ushauri tu wa maisha.”

MSANII DADDY Q AKATAZWA MSHAHARA WAKE NA KUMISTREATIWA NA KAMPUNI FLANI NAIROBI.

Image
Msanii aliyevuma kwa kibao 'tumerelax' na 'nakuita' aliyeanzia muziki wake Ukunda amepatwa na pi go la mwaka.Daddy aliandikwa kazi na kampuni ya homeboys na kikichofuata ni kufanyishwa kazi nyingi,bila chakula na malipo.Msanii huyu anayemiliki kampuni ya Grip music hujipata pabaya yeye pamoja na wafanyikazi wengine pale nduguye mdosi anapowafokea na kuwakataza mishahara yao.Tulipowasiliana na D addy Q alitueleza hivi............ "si wajua nimekua nikiwa subcontracted na homeboyz entertainment kwa jobs under department ya homeboyz tv chini ya bro wa mdosi wa homeboyz yuaitwa Alpha Rabar maze huyu jamaa amekua pain kwa wafanyi kazi sana long working hours,no food no extra time payment underpayment nakadhalika mpaka kuna day aliambia worker mmoja ampigie daughter wake amwambie yeye ni uncle amemwachia mshahara so hawa jamaa wameamua hata kutoa no.s zao kwa interview ya simu, so mimi niliwafanyia kazi since November fee. Note ikiandikwa huyu kibaka

MSANII SHINEY BAADA YA KIMYA KIREFU ARUDI TENA "RIDE ON ME".

Image
Ni binti aliyejaliwa na kipaji kikubwa na weledi wa kupachika vokali Kali na kutamba na mdundo vilivyo.Tunamzunguzia msanii wa kike Shiney Anne.Alichipuka kwa Mara ya kwanza Kwa wimbo "maneno" na kukiri kutorudi nyuma kamwe.Alitoa vibao vingine vya kusisimua kama "ilingi" akimshirikisha Dazlah na raundi hii $hiney amerudi tena kwa kishindo kwa wimbo mpya "ride on me".Chini ya mbawa zake Produza Baindo,mdundo unakolea vyema na sauti tamu yakuvutia.Kaa karibu na radio yako upate kukisikia kibao RIDE ON ME kwani tayari kishaachiliwa rasmi.

HEBU FIKIRIA KAMA SANAA YA PWANI INGELIKUWA DARASA.WASHIKA DAU HAWA BASI WANGEKUWA HIVI........

1.VICHWA NGUMU NA BACK BENCHERS. Odinareh Bingwa,kassamoney,Ra­pdem,C deh,Achicho,mitaa kisauni,Kiwanja na Sudi Manjewa. 2.CHRONIC KISWAHILI AND MOTHER TONGUE SPEAKERS Hapa hauwakosi kina Mr.Bado,Kidis,chikuz­ee,kaa la moto,Katoi wa Tabaka. Hawa hawakosi kubeba disk any day of the week. 3.WAREMBO WA DARASA. Sisp,Vivonce,Shamani­z,Shiney,Lovemumz,Bi­shara Aden,Ruth Ndeti na wengineo. 4.WAMBEA NA WADAKU WA DARASA Backstreet na pwani Usanii 5.JAMAA WAKUJIFANYA WASOMI NA KUKAA DESKI ZA MBELEMBELE. Teddy Nyae wa Tinga,John Okoth,Escobar(msomi ila ana shida nyingi ya fee),Produza Baindo,Ammz Jadidi. 6.JAMAA WA KUPENDA KUCOPY KAZI ZA WENZAO NA KUIBA VITABU. Susumila na Tk2 7.WAZEE WA DARASA.HAWA NI WALE WAMEREPEAT CLASS MARA KUMI. Ukoo flani wote,Nyota Ndogo,Kingsting na Donde Samora. 8.WADOSI WA DARASA. Mamasizo, Benso, Akoth­ee. 9.WALE WA KUBEMBELEZWA NA WALIMU AKA TEACHER'S PET. Brown Mauzo,Gates Mgenge,Shembwana,dj ivory na produza Lai. 10.Fat S,Donde na M