MIA KWA MIA VIDEO KAA LA MOTO ft JAYSTAR.

Alianza kwa wimbo 'mtalizusha' akimshirikisha Kidis, wimbo huo japo ulivuma na kupendwa na wengi mashabiki hawakupata fursa ya kuitazama video yake; kisa,haikuandaliwa.R aundi hii, mfokaji Kaa la Moto alipomshirikisha msanii Jaystar kwa wimbo 'mia kwa mia' aliahidi video na hakuwabwaga mashabiki wake.Video mpya ya wimbo mia kwa mia iliyotambulishwa mara ya kwanza kabisa kwenye kipindi cha Mseto East Afrika iliandaliwa na Lil guy G.

Comments

Popular posts from this blog

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.