Posts

Showing posts from June, 2017

LIZZ MJAMZITO....JE NGOMA NI YA NANI?

Image
Baada ya kuachana na mpenzi wake Dazlah, promoter wa sanaa anayefanya kazi na kuishi Dubai Lizz Jahsolja huenda akawa ni mja mzito, jambo ambalo limeleta utata kati ya mashabiki wake, bwanyenye flani wa hapa Mombasa na msanii flani anayeshukiwa kucheza ngoma ile. Liz alipost picha ya pregnancy test kit inayoonyesha kuwa yu mja mzito, na kulingana na taarifa zinazotufikia ni kuwa kuna wajamaa wawili wanaoshukiwa kufunga penalti hiyo.  Wa kwanza ni msanii anayesemekana alikuwa mwandani wake Dazlah na aliweza kufanya show huko Dubai hivi majuzi. Msanii huyu ambaye kwa sasa tumebana jina lake, inasemakana alianza uhusiano huo na Lizz, pindi tu baada ya Lizz kumtema Dazlah. Wa pili ni tajiri flani wa hapa Mombasani anayefanya biashara za kuagiza magari na bidhaa za electroniki kutoka nchi za nje, ambaye pia kwa siku za hivi karibuni amekuwa akipiga ziara Dubai aliko Lizz. Jamaa huyu ambaye anaishi sehemu za Nyali, inasemakana ako na familia na iwapo mambo yake na Lizz yatakw...