Ni picha iliyozua maswali mengi kwa mashabiki baada tu rapper Kaa La Moto kupost kwenye wall yake hapo jana siku ya Easther Monday. Kaa La Moto kaisifu nyama ya ng'ombe aliyogawa na Sis P akidai ni tamu na imefanya siku iwe nzuri kwake, je ni nyama gani hio???